portrait

Ngunga Tepani

Dar Es Salaam, Tanzania

Translate From: English (EN)

Translate To: Swahili (SW)

262

Words Translated

0

Terms Translated

Ngunga’s Selected Translation Work

Terms and text shown below represent Ngunga’s contributions to TermWiki.com, a free terminology website and knowledge resource for the translation community.

(object) array( 'id' => '10537975', 'url' => 'SW/Dream_Team', 'image' => '5eaed083-1382176087.jpg', 'title' => 'Dream Timu', 'tags' => array ( 0 => 'Dream Timu', 1 => 'Sports', 2 => 'Basketball', 3 => '', ), 'term' => 'Dream Timu', 'source_id' => 32335, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Basketball', ), 'lastedit' => '20150826133302', 'part_of_speech' => '', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => '(msemo kwenye mpira wa kikapu) ni jina waliopachikwa timu ya Marekani ambayo ilishinda medali ya dhahabu wakati wa mashindano ya Olimpiki mwaka 1992 huko Barcelona; ilikuwa ni mara ya kwanza kwa wachezaji wa kulipwa kuruhusiwa kuwakilisha nchi yao; wachezaji waliokuwemo kwenye timu hiyo walikuwa Charles Barkley, Larry Bird, Clyde Drexler, Patrick Ewing, Magic Johnson, Michael Jordan, Christian Laettner, Karl Malone, Chris Mullin, Scottie Pippen, David Robinson na John Stockton. Katika mashindano ya Olimpiki ya mwaka 1996, timu ya Marekani ilijulikana kama Dream Timu II na ile ya mwaka 2000, Dream Timu III.', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 420, 'height' => 404, '_version_' => 1510574434448048128, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'Dream Team', 'Definition' => '(basketball term) the name given by the media to the U.S. basketball team that won the gold medal at the 1992 Barcelona Olympics; it was the first time non-amateurs were permitted to represent the country; the members of this team were Charles Barkley, Larry Bird, Clyde Drexler, Patrick Ewing, Magic Johnson, Michael Jordan, Christian Laettner, Karl Malone, Chris Mullin, Scottie Pippen, David Robinson and John Stockton. In the 1996 Olympics, the U.S. team was called Dream Team II and in 2000, Dream Team III.', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Basketball', 'Domain' => 'Documentation', 'Usage Status' => 'New', 'Revision User' => 'Jessehe', 'Revision Date' => '2010/05/27', 'Creation User' => 'Jessehe', 'Creation Date' => '2010/05/27', 'Source Lang' => '1180', 'Sample Image' => '5eaed083-1382176087.jpg', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'Dream_Team', )

English (EN)Dream Team

(basketball term) the name given by the media to the U.S. basketball team that won the gold medal at the 1992 Barcelona Olympics; it was the first time non-amateurs were permitted to represent the country; the members of this team were Charles Barkley, Larry ...

Swahili (SW)Dream Timu

(msemo kwenye mpira wa kikapu) ni jina waliopachikwa timu ya Marekani ambayo ilishinda medali ya dhahabu wakati wa mashindano ya Olimpiki mwaka 1992 huko Barcelona; ilikuwa ni mara ya kwanza kwa wachezaji wa kulipwa kuruhusiwa kuwakilisha nchi yao; wachezaji ...

Sports; Basketball
(object) array( 'id' => '10537927', 'url' => 'SW/open', 'image' => '', 'title' => 'Mwanya', 'tags' => array ( 0 => 'Mwanya', 1 => 'Sports', 2 => 'Basketball', 3 => 'Apple', 4 => 'Mac OS X', 5 => '', ), 'term' => 'Mwanya', 'source_id' => 23152, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Basketball', ), 'company' => array ( 0 => 'Apple', ), 'product' => array ( 0 => 'Mac OS X', ), 'lastedit' => '20150826124906', 'part_of_speech' => 'adjective', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => '(msemo kwenye mpira wa kikapu) ambapo mchezaji hubaki bila ya kuchungwa na mlinzi wa timu pinzani', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510571666552389633, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'open', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Basketball', 'Product' => 'Mac OS X', 'Company' => 'Apple', 'Part of Speech' => 'adjective', 'Usage Status' => 'New', 'Definition' => '(basketball term) when a player is unguarded by a defender.', 'Creation User' => 'Jessehe', 'Creation Date' => '2010/5/28', 'Revision User' => 'Jessehe', 'Revision Date' => '2010/5/28', 'Domain' => 'Documentation', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'open', )

English (EN)open

(basketball term) when a player is unguarded by a defender.

Swahili (SW)Mwanya

(msemo kwenye mpira wa kikapu) ambapo mchezaji hubaki bila ya kuchungwa na mlinzi wa timu pinzani

Sports; Basketball
(object) array( 'id' => '10537946', 'url' => 'SW/basket', 'image' => '', 'title' => 'Kikapu', 'tags' => array ( 0 => 'Kikapu', 1 => 'Sports', 2 => 'Basketball', 3 => '', ), 'term' => 'Kikapu', 'source_id' => 30309, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Basketball', ), 'lastedit' => '20150826131202', 'part_of_speech' => 'noun', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => '(kwa mchezo wa kikapu) kimefungwa kwenye ubao, kinakuwa mzunguko wa chuma wa kipenyo cha inchi 18 kikining\'inizwa futi 10 kutoka chini, ambapo nyavu ya inchi 15 hadi 18 huning\'inia, na kupitia humo alama hupatikana; pia neno hutumika kumaanisha goli mchezoni', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510573112659279873, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'basket', 'Definition' => '(basketball term) attached to the backboard, it consists of a metal rim 18" in diameter suspended 10\' from the floor, from which a 15-18" corded net hangs, and through which points are scored; also used to refer to a successful field goal', 'Part of Speech' => 'noun', 'Usage Status' => 'New', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Basketball', 'Domain' => 'Other', 'Creation User' => 'Jessehe', 'Creation Date' => '2010/5/25', 'Revision User' => 'Jessehe', 'Revision Date' => '2010/5/25', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'basket', )

English (EN)basket

(basketball term) attached to the backboard, it consists of a metal rim 18" in diameter suspended 10' from the floor, from which a 15-18" corded net hangs, and through which points are scored; also used to refer to a successful field goal

Swahili (SW)Kikapu

(kwa mchezo wa kikapu) kimefungwa kwenye ubao, kinakuwa mzunguko wa chuma wa kipenyo cha inchi 18 kikining'inizwa futi 10 kutoka chini, ambapo nyavu ya inchi 15 hadi 18 huning'inia, na kupitia humo alama hupatikana; pia neno hutumika kumaanisha goli mchezoni

Sports; Basketball
(object) array( 'id' => '10537925', 'url' => 'SW/spray', 'image' => '', 'title' => 'Harijojo', 'tags' => array ( 0 => 'Harijojo', 1 => 'Sports', 2 => 'Golf', 3 => '', ), 'term' => 'Harijojo', 'source_id' => 11839, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Golf', ), 'lastedit' => '20150826124902', 'part_of_speech' => 'noun', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => 'kupiga mpira wa gofu mara kwa mara bila kufuata mwelekeo ukilinganisha na lilipo shimo', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510571666550292480, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'spray', 'Definition' => 'hitting the golf ball with a grossly inconsistent direction compared with the target', 'Part of Speech' => 'noun', 'Domain' => 'Documentation', 'Usage Status' => 'New', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Golf', 'Revision User' => 'PetriDish', 'Revision Date' => '2010/6/2', 'Creation User' => 'Termstar', 'Creation Date' => '2010/4/19', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'spray', )

English (EN)spray

hitting the golf ball with a grossly inconsistent direction compared with the target

Swahili (SW)Harijojo

kupiga mpira wa gofu mara kwa mara bila kufuata mwelekeo ukilinganisha na lilipo shimo

Sports; Golf
(object) array( 'id' => '10537934', 'url' => 'SW/pull', 'image' => '', 'title' => 'Fyongo', 'tags' => array ( 0 => 'Fyongo', 1 => 'Sports', 2 => 'Golf', 3 => '', ), 'term' => 'Fyongo', 'source_id' => 23322, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Golf', ), 'lastedit' => '20150826125617', 'part_of_speech' => 'noun', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => 'kupiga mpira vibaya kuelekea kushoto zaidi ukilinganisha na lilipo shimo kwenye gofu', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510572106806460417, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'pull', 'Definition' => 'a poor golf shot played severely to the left', 'Part of Speech' => 'noun', 'Domain' => 'Documentation', 'Usage Status' => 'New', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Golf', 'Revision User' => 'PetriDish', 'Revision Date' => '2010/6/2', 'Creation User' => 'Tom the translator', 'Creation Date' => '2010/4/21', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'pull', )

English (EN)pull

a poor golf shot played severely to the left

Swahili (SW)Fyongo

kupiga mpira vibaya kuelekea kushoto zaidi ukilinganisha na lilipo shimo kwenye gofu

Sports; Golf
(object) array( 'id' => '10537926', 'url' => 'SW/slice', 'image' => '', 'title' => 'Kislesi', 'tags' => array ( 0 => 'Kislesi', 1 => 'Sports', 2 => 'Golf', 3 => '', ), 'term' => 'Kislesi', 'source_id' => 21820, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Golf', ), 'lastedit' => '20150826124902', 'part_of_speech' => 'noun', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => 'Mpigo wa mpira unaolekea kuingia kwenye shimo kisha kutoingia tena Kwa mcheza-gofu anayetumia mkono wa kulia mpira unaelekea kushoto kisha hurudi tena kulia Husababishwa na mpira kuzunguka kinyumenyume mno ukiwa unatembea', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510571666552389632, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'slice', 'Definition' => 'A shot that starts to go inside and then moves back outside. For a right-handed golfer the shot starts out to the left and the moves back to the right. Caused by too much backspin', 'Part of Speech' => 'noun', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Golf', 'Domain' => 'Documentation', 'Usage Status' => 'New', 'Revision User' => 'Jessehe', 'Revision Date' => '2010/6/7', 'Creation User' => 'Tom the translator', 'Creation Date' => '2010/4/21', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'slice', )

English (EN)slice

A shot that starts to go inside and then moves back outside. For a right-handed golfer the shot starts out to the left and the moves back to the right. Caused by too much backspin

Swahili (SW)Kislesi

Mpigo wa mpira unaolekea kuingia kwenye shimo kisha kutoingia tena Kwa mcheza-gofu anayetumia mkono wa kulia mpira unaelekea kushoto kisha hurudi tena kulia Husababishwa na mpira kuzunguka kinyumenyume mno ukiwa unatembea

Sports; Golf
(object) array( 'id' => '10537935', 'url' => 'SW/arch', 'image' => '', 'title' => 'Mduara nje ya penati', 'tags' => array ( 0 => 'Mduara nje ya penati', 1 => 'Sports', 2 => 'Football', 3 => '', ), 'term' => 'Mduara nje ya penati', 'source_id' => 26091, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Football', ), 'lastedit' => '20150826125620', 'part_of_speech' => 'noun', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => 'Ni nusu duara lililopo nje ya eneo la penati (kandanda)', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510572106806460418, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'arch', 'Definition' => 'The curved line part of a standard soccer pitch located on top of each penalty box.(football)', 'Domain' => 'Documentation', 'Industry' => 'Sports', 'Part of Speech' => 'noun', 'Product' => '', 'Product Category' => 'Football', 'Usage Status' => 'New', 'Revision User' => 'Marisa', 'Revision Date' => '2010/6/14', 'Creation User' => 'Thuv', 'Creation Date' => '2010/05/19', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'arch', )

English (EN)arch

The curved line part of a standard soccer pitch located on top of each penalty box.(football)

Swahili (SW)Mduara nje ya penati

Ni nusu duara lililopo nje ya eneo la penati (kandanda)

Sports; Football
(object) array( 'id' => '10538003', 'url' => 'SW/free-throw_line', 'image' => '', 'title' => 'Mstari wa mtupo-huru', 'tags' => array ( 0 => 'Mstari wa mtupo-huru', 1 => 'Sports', 2 => 'Basketball', 3 => '', ), 'term' => 'Mstari wa mtupo-huru', 'source_id' => 32494, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Basketball', ), 'lastedit' => '20150826135608', 'part_of_speech' => '', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => 'Mstari wenye urefu wa futi 15 mbele ya goli la kikapu ambapo kutokea hapo wachezaji hurusha mitupo ya vikapu baada ya kufanyiwa faulo; ni mstari ambapo wacheza mpira wa kikapu hurusha mipira ya penati. Pia hujulikana kama mstari wa adhabu', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510575880874754048, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'free-throw line', 'Definition' => 'A line 15 feet in front of each backboard from which players shoot foul shots; a line from which basketball players take penalty shots. Also referred to as foul line.', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Basketball', 'Domain' => 'Documentation', 'Usage Status' => 'New', 'Revision User' => 'Jessehe', 'Revision Date' => '2010/5/28', 'Creation User' => 'Jessehe', 'Creation Date' => '2010/5/28', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'free-throw_line', )

English (EN)free-throw line

A line 15 feet in front of each backboard from which players shoot foul shots; a line from which basketball players take penalty shots. Also referred to as foul line.

Swahili (SW)Mstari wa mtupo-huru

Mstari wenye urefu wa futi 15 mbele ya goli la kikapu ambapo kutokea hapo wachezaji hurusha mitupo ya vikapu baada ya kufanyiwa faulo; ni mstari ambapo wacheza mpira wa kikapu hurusha mipira ya penati. Pia hujulikana kama mstari wa adhabu

Sports; Basketball
(object) array( 'id' => '10538002', 'url' => 'SW/free-throw', 'image' => '', 'title' => 'Mtupo-huru', 'tags' => array ( 0 => 'Mtupo-huru', 1 => 'Sports', 2 => 'Basketball', 3 => '', ), 'term' => 'Mtupo-huru', 'source_id' => 32493, 'type' => 'term', 'namespace' => 1868, 'nstext' => 'SW', 'industry' => array ( 0 => 'Sports', ), 'category' => array ( 0 => 'Basketball', ), 'lastedit' => '20150826135603', 'part_of_speech' => '', 'creation_user' => 'GoloTiziWiki', 'special_term' => '', 'definition' => '(kwenye mpira wa kikapu) ni mtupo wa mpira kwenye kikapu bila ya kukingwa tokea kwenye mstari wa adhabu unaofanywa na mchezaji ambaye mpinzani wake amemchezea faulo ya kawaida au ya kiufundi; ina thamani ya pointi 1', 'usage_comment' => '', 'glossary' => '', 'width' => 0, 'height' => 0, '_version_' => 1510575880872656896, 'nstext_full' => 'Swahili (SW)', 's_attr' => (object) array( 'Term' => 'free-throw', 'Definition' => '(basketball term) an unguarded shot taken from the foul line by a player whose opponent committed a personal or technical foul; it is worth 1 point.', 'Industry' => 'Sports', 'Product Category' => 'Basketball', 'Domain' => 'Documentation', 'Usage Status' => 'New', 'Revision User' => 'Jessehe', 'Revision Date' => '2010/5/28', 'Creation User' => 'Jessehe', 'Creation Date' => '2010/5/28', 'Source Lang' => '1180', ), 's_namespace_text' => 'EN', 's_namespace_text_full' => 'English (EN)', 's_title' => 'free-throw', )

English (EN)free-throw

(basketball term) an unguarded shot taken from the foul line by a player whose opponent committed a personal or technical foul; it is worth 1 point.

Swahili (SW)Mtupo-huru

(kwenye mpira wa kikapu) ni mtupo wa mpira kwenye kikapu bila ya kukingwa tokea kwenye mstari wa adhabu unaofanywa na mchezaji ambaye mpinzani wake amemchezea faulo ya kawaida au ya kiufundi; ina thamani ya pointi 1

Sports; Basketball